Genesis 47:17

17Kwa hiyo wakaleta mifugo yao kwa Yusufu, naye akawapa chakula kwa kubadilishana na farasi zao, kondoo na mbuzi zao, ng’ombe na punda zao. Katika mwaka huo wote Yusufu akawapa chakula kwa kubadilishana na mifugo yao yote.

Copyright information for SwhKC